Logo
Sera ya Lugha kiengerezi
Chagua Lugha
Kuingia katika majadiliano

 
   
   Hujaandikishwa?
   Andikisha
hapa

Vipi?

Kuwepo kwangu Dar es Salaam katika miezi michache iliyopita kumenipa fursa bomba kinomi yakuona picha za kina Lady Jadee, Mwasiti, Prof. Jay na hata Rais Kikwette na mastaa wengi wengineo katika mabango makubwa kwa madogo ya matangazo yakituambia Malaria Haikubaliki. Tarehe 25 Aprili ni Siku ya Malaria Duniani.
Haijawahi kutokea nafasi bomba kama hii ya kutokomeza malaria.

Shiriki!The Red Ribbon - Health Improvement Project

Freddie

Toleo Jipya
Fema APRIL - JUNE 2010
Hakuna anayejali?

Je, una VVU na unaishi Bukoba, Dar es Salaam au Dodoma? Kuna mtu anayejali.

» Fuatilia!

Fuatilia!

Zoza nasi

Tuna hamu kubwa kusikia kutoka kwako. Usikae kimya zoza nasi.

» Cheki hapa!

Cheki hapa!

Usiogope benki

Acha kuogopa benki. Benki zipo kukuwezesha kufungua akaunti ili uweze kutunza pesa zako.

» Jifunze!

Jifunze!

FEMA TV Talk Show

Cheki ratiba TBC1 na ITV

» Bofya hapa!

Bofya hapa!
Fema limetoka!

Unaweza kuliita toleo la kombe la dunia. Ni mchakamchaka wa kikweli. Usikose kulisoma!

» Endelea!

Endelea!

Maswali yajibiwa

Pata majibu ya maswali kama: Je, msichana akijamiiana mara moja tu anaweza akapata mimba?

» Pata majibu!

Pata majibu!

Unasemaje...
Je, wakati umefika, kwa SPW kuacha kutetea wazee na badala yake ianze kujali maslahi ya vijana?
ndiyo kwasababu wazee wanatunzwa na vijana
ndiyo kwasababu itasitisha maambukizi ya VVU
hapana kwasababu SPW haijawahi kuhudumia wazee; siku zote ina hudumia vijana
sijui